Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

(DOWNLOAD) "Mvungu Mkeka" by Wadi Kyhia # eBook PDF Kindle ePub Free

Mvungu Mkeka

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Mvungu Mkeka
  • Author : Wadi Kyhia
  • Release Date : January 20, 2020
  • Genre: Mysteries & Thrillers,Books,
  • Pages : * pages
  • Size : 419 KB

Description

Mvungu mkeka ni riwaya inayoudhihirisha mkanganyiko wa utandu wa siri zenye kiza totoro katika jamii. Yasikitisha kuwa hata baina ya wanaotakiwa kuwa na uwazi zaidi ya ule wa mchana wa jua, kinachotamalaki mioyoni mwao ni kiza na usiri. Umdhaniaye siye na usiyemdhania ndiye.Moyo wa mja umejaa siri nyingi zisizojulikana. Siri hizi ni kama vile ulaghai wa ubaba, dhuluma za ujane, wanaume na uoga wa afya ya uzazi, unyanyapaa dhidi ya waathiriwa wa Ukimwi, Saratani na Nasuri. Wahifadhi wa siri zenyewe husahau kuwa kweli inapodhihiri,uwongo hujitenga.
Moyoni, Sirikiza anapigana miereka na atiati za urijali wake huku Sonia,mkewe, akiwa mhifadhi mkuu wa siri ya ulaghai wa ubaba kumwelekea Sirikiza.Sonia haoni soni kumfanyia Zabibu,mamake,ugingisi; huku naye Daktari Omari,babaye wa kambo wa Sonia,akiwa mso hayawa hili la kumtungisha Sonia ujauzito haramu.Leila anao mwanga kwa urijali wa Sirikiza.


Download Free Books "Mvungu Mkeka" PDF ePub Kindle